FAHAMU TEKNOLOJIA YA BLOCKCHAIN NA CRYPTOCURRENCY
Sandra Chogo kwa taaluma ni Mhasibu lakini pia ni mtaalamu wa masuala ya sarafu mtandao. Akiwa anaendelea na masomo yake ya shahada ya uzamili katika eneo la pesa za kidijitali, Sandra ameandika kitabu kinachoeleza teknolojia ya ‘blockchain’ na sarafu mtandao kwa ujumla. Fuatilia zaidi mahojiano kujifunza.
[ad_2]
Source link
Investing with Mrs Trisha has been the best step I have ever took in my life, may God bless that day I meet her
Nitumie no zako
I would like to join your team
Tunaomba Mzidi kutuelimisha sana
Huyu dada kuna kitu anajua ila huyu mtangazaji hana uelewa mpana juu ya anacho kihoji
Mi nafikili ni vzr kujiuliza ni halali au sio … Ili kuelewa ni swali zuri.. mi naona ni naona n halali, utajuaje ni halali au sio halali usemavyo inategemea unatalajia nn kwa kitu ukisemacho kitu kikifanya vzr kinakua chema na halali pia kikitoa matalajio chanya kiweza kua halali , Bit coin ni kitu kipya si rahs halaka halaka kusema ni kibaya .. naamini nichema na halali maana kinatoa matokeo chanya mengi kwa watumiaji,
Kutokuwa na mmiliki ndio uzuri wake nafikili .. kwasabab bei inajiendesha
So nizaidi ya pesa manayake
Huyu Dada hajui mambo mengi kuhusu cryptocurrencies anahitajika kuchimba zaidi na kuongeza ujuzi. Bitcoin sio fiat money kama alivyosomea hiyo CPA yake.
Huu mchezo hauna hasara
Tunaomba mawasiliano ili tupate hicho kitabu
Kitabu kinapatikana wap
Na shida na hcho kitabu nakipataje
Sawa