Wednesday, March 22, 2023

FAHAMU TEKNOLOJIA YA BLOCKCHAIN NA CRYPTOCURRENCY


Sandra Chogo kwa taaluma ni Mhasibu lakini pia ni mtaalamu wa masuala ya sarafu mtandao. Akiwa anaendelea na masomo yake ya shahada ya uzamili katika eneo la pesa za kidijitali, Sandra ameandika kitabu kinachoeleza teknolojia ya ‘blockchain’ na sarafu mtandao kwa ujumla. Fuatilia zaidi mahojiano kujifunza.Source link

14 comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.